Tuesday, March 15, 2011

ALEX KAJUMULO THE BUSHMAN AWEKA HISTORIA JAMAICA NA THE WAILERS

Ni kwa mara ya kwanza mwanamuziki toka nje kuweza kupata nafasi ya kwanza ktk safu ya miziki huko jamaica na huyu si mwingine ni Alex Kajumulo The Buhsman ndiye pekee aliye wahi kufanikiwa kufanya hivyo pale alipo tunga nyimbo yake inayoitwa "its me again" akiwashirikisha the wailers bendi ya mwanamuziki mkongwe wa reggae Bob marley waimbaji ktk nyimbo hiyo walikuwa ni Alex Kajumulo na selassie 1 soldier mpiga base alikuwa ni Carlton Barrett na gita imepigwa na Clinton Fearon/Boogie Brown, Hii ndiyo nyimbo ya kwanza ya mtu wa nje kushika namba 1 jamaica.

sikiliza hiyo nyimbo 

2 comments:

Fatherhood Blogger said...

This is hot. Kajumulo tuwakilishe mkuu.

Anonymous said...

Hii nimeipenda sana kajumulo, you did amazing job, Big up Bro.