Tuesday, July 19, 2011

MAMBO YA SUMMER TIME BY MISSY TEMEKE. (SI MCHEZO NI RAHA TUPU)

             Miss Temeke akipigwa na jua na kiupepo kwa mbaliiiiii.
       Pozi hiloooooo jameni...mambo ya kimisi hayo jamani....!
Mambo ya swiming pool hayooooooooo!!!
      Woooooooooooooow!   Jamani mi staki style....!!!
goood one.
         Kwa raha zako dada!!!
Si mchezo jamani mapozi hayooooooooooo!!!
PICHA HIZI NI KWA HISANI YA MDAU WETU MKUBWA MISS TEMEKE KUTOKA WASHINGTON DC NA WEWE KAMA UNAZAKO KAMA HIZI BASI UTULETEEEEEEEEEE JAMANI ILI W2 WAONE VIJIMABOOOOO MSIOGOPE "NO MARKS"!!!

No comments: