Tuesday, July 19, 2011

SALEHE BIBOZE AFUNGA NDOA NA BI REHEMA MOHAMEDI MOMBASA, KENYA.

Bwana harusi(Salehe Biboze) and Bibi harusi(Rehema Mohamed)
Mr&Mrs Salehe Biboze pamoja na Mr. Mrisho Malilo Biboze
Mr&Mrs Salehe Biboze wakiwa na Jax Harambe
Mambo ya Blusssssssss yaho.............!!!!
Kushoto ni Mzee Kashushu(Baba) katikati ni Mr. Mrisho na wamwisho ni Mr.Issa Biboze
Baada ya ndoa kufungwa ni misosi na furaha tele.
Maharusi wakiwa na mwenyeji wao wa mombasa.
Farred Kakere(shoto) akiwa na Mr. Mussa Biboze(kulia)
                    Sherehe ilifana sana Mombasa kila mtu ni furaha tuuuuuu.
Uncle naye alikuwepo jina Abdallah Kohoye 
kulia ni Mr.Jax Harambe(kaka) katika ni Mzee kashushu na shoto ni Mr Mussa Biboze (Kaka)
Mwana kamati Mr.Mrisho Malilo ktk pozi  jijini Mombasa.
stay tuned the more pictures is coming..!!!

1 comment:

KAPILIMATHETOUR said...

man hiyo ilikuwa funika bovu, ongera sana mkuu SALEHE HARAMBE kwa kupata JIKO MARDADI!!!