Monday, March 4, 2013

JAX HARAMBE AFANYA HAROBAINI KUBWA YA MWANAE CAHILL TEMEKE, DAR ES SALAAM

Jax Harambe akitoka na mtoto nje kwa ajili ya watu kumuona na kupokea swadaka

Mama na mtoto na wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja

Jax Harambe akiwa na mkewe wakipokea swadaka kwa ajili ya mtoto wao mpendwa.

Sasha na Hamida watoto wa kwanza wa Jax.
Jax akimpitisha Mwanae katikati ya waalikwa kwa ajili ya kupokea swadaka

watu wakipata chakula.
Mzee Juma Kakere nae alikuwepo katika tukio
Baadhi ya waalikwa.
Mbunge wa Lindi Murtaza Mangungu nae alikuwepo


 Kapemba Harambe na Zabibu Harambe nao walikuwepo

Bi Asha Harambe nae alikuwepo pia.
Kwa Picha zaidi Click here

No comments: