Sunday, March 10, 2013

UHURURU MUIGAI KENYATTA AONGOZA MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA


mH. Uhuru Muigai Kenyatta akionesha hati aliyokabidhiwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya jana katika ukumbi wa Bomas na kutangazwa kuwa Rais wa nne wa nchi hiyo. Mpinzani wake Mhe Raila Odinga amekataa kukubali matokeo hayo na kuonesha nia ya kwenda kuyapinga mahakamani.
Walinzi wakiwa wamelizingira gari lililombeba Rais mteule wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta alipokuwa akiwasili Bomas of Kenya mara baada ya kutangazwa mshindi.

No comments: