Watu wanokadiriwa zaidi ya watano wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.(picha na Aman Masue).
Wananchi wakimtazama Bw. Amiri Abdallah(46), maarufu kwa jina la Chura Mchimba Makaburi ya Kinondoni, aliyejeruhiwa huko Tegeta jijini Dar es Salaam akidaiwa kubomoa nyumba sehemu ya Wazo Hill huko Madale akiwa na wenzake 26 leo. Aliyemuinamia akimpa pole ni Mkewe.
Habari ambazo bado tunatafuta uthibitisho zinasema watu kadhaa wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.

2 comments:
MPAKA WATU WAMEAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI KIASI HIKI NA DHAHIRI KUWA WANAJUA KUWA HATA WAKIENDA WAPI HAKI HAITATENDEKA KWA SABABU NCHI YETU IMEGHUBIKWA NA BLANKETI KUBWA LA MILUNGULA. HATA VIONGOZI WA JUU HAWJALI TENA RAIA WADOGO , POLISI NA MAHAKAMA VYOTE VIMEJAWA NA HAMU YA KUPEWA CHOCHOTE ILI WEWEZE KUFANYA MAAMUZI. YOTE HAYO YAMESABABISHWA NA UONGOZI WA JUU WA SERIKALI YETU. WANAOJILIMBIKIZIA. OLE WENU !!MTADAIWA DAMU ZA WATU HAWA!!!!

Post a Comment