Tuesday, March 5, 2013

BREAKING NEWS: MOTO MKUBWA WAZUKA DAR LEO

Moto mkubwa ukiendelea kuwaka ndani ya ghala hilo kama uonekanavyo pichani.
Moto mkubwa umezuka na kuteketeza mali mbalimbali zilizokuwemo kwenye moja ya ghala kubwa la kuhifadhia vitu mbalimbali ikiwemo vikombe vya udongo,Pampas,vigae na vitu vingine,sehemu ya maghala ya kuhifadhia vitu Shekilango,jijini Dar,aidha kufuatia tukio hilo mpaka Globu ya Jamii inaondoka eneo la tukio,hasala naa gharama za mali zilizoteketea haikuweza kufahamika mara moja,aidha kwa mujibu wa Kamanda wa mkoa wa Kipolisi Wilaya ya Kinondoni,Afande Kenyela alieleza kuwa mpaka sasa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika isipokuwa juhudi za kuuzima moto zilikuwa zikiendelea kwa juhudi kubwa.
Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya Ultimate Security wakiendelea kuzima moto uliokuwa ukiendelea kuwaka ndani ya ghala hilo,ambao tayari ulikwisha teketeza mali nyingi.




Monday, March 4, 2013

NECTAR SATURDAYS IS BACK. DMV'S #1 INTERNATIONAL SATURDAY NIGHT PARTY POWERED BY DJ CHICK & FRIENDS. DOORS OPEN AT 10PM. FREE BEFORE 11PM. MUST BE 21. PROPER ATTIRE & ATTITUDE A MUST. EARLY ARRIVAL STRONGLY SUGGESTED. (7926 GEORGIA AVE, SILVER SPRING MD 20910. ( RIGHT ON THE DC LINE) FOR VIP RESERVATION / BIRTHDAY DISCOUNTS CALL: 202-905-9570 ASAP.www.djchickandfriends.com

HAYO NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI NCHINI KENYA

GHANA INDEPENDENCE CELEBRATION (DON'T MISS IT)


GHANA 56. 
TWO DAYS OF FESTIVITIES.
FRIDAY MARCH 8TH @ LUX.
SATURDAY MARCH 9TH @ NECTAR. 
POWERED Y DJ CHICK & FRIENDS / ROB DEFINITIONS / YOUNG GHANAIAN PROFESSIONAL / FRIENDS OF GHANA WORLDWIDE. FOR MORE INFO & VIP RESERVATION CALL: 202-905-9570 ASAP!

FOR MORE EVENTS CLICK HERE

JAX HARAMBE AFANYA HAROBAINI KUBWA YA MWANAE CAHILL TEMEKE, DAR ES SALAAM

Jax Harambe akitoka na mtoto nje kwa ajili ya watu kumuona na kupokea swadaka

Mama na mtoto na wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja

Jax Harambe akiwa na mkewe wakipokea swadaka kwa ajili ya mtoto wao mpendwa.

Sasha na Hamida watoto wa kwanza wa Jax.
Jax akimpitisha Mwanae katikati ya waalikwa kwa ajili ya kupokea swadaka

watu wakipata chakula.
Mzee Juma Kakere nae alikuwepo katika tukio
Baadhi ya waalikwa.
Mbunge wa Lindi Murtaza Mangungu nae alikuwepo


 Kapemba Harambe na Zabibu Harambe nao walikuwepo

Bi Asha Harambe nae alikuwepo pia.
Kwa Picha zaidi Click here

THT KUANDAA MJADALA UNAO HUSU CHANGAMOTO ZINAZO WAKABILI WASANII WAKIKE

Maya Azurenca
Baadhi ya Vijana mbalimbali waliokuwa wamekusanyika kwenye kiunga cha moja ya ofisi za taasisi hiyo ya THT,Kinondoni Block 41,jijin Dar kwa ajili ya kushiriki mjadala uliohusu changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Kike wakiwa katika picha ya pamoja na mwanamuziki kutoka nchini Marekani aitwaye Maya Azurenca.
Pichani juu ni Mwanamuziki kutoka nchini Marekani aitwaye Maya Azurenca akimba mbele ya vijana mbalimbali (hawapo pichani),wakati wa kushiriki mjadala uliohusu changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Kike, mjadala uliohusisha wasanii wa kike kutoka THT,wasichana kutoka nyumba ya kulelea watoto yatima wa KIWOHEDE

FOLENI YA MAGARI IMEKUWA KUBWA SANA DAR ES SALAAM LEO

Wakazi wa Jiji la Dar leo ilikuwa hivi
Mara baada ya mvua kunyesha kwa masaa kadhaaa jiji la Dar es salaam lilikuwa halitamaniki mchana wa leo kwa foleni ya magari, yaani hata Bodaboda zilikosa pa kupita. Kuanzia milango ya saa saba hadi jioni ilikuwa balaa tupu kwani kila barabara ilikuwa imefurika magari

MSANII MKUBWA BONGO WA KIKE LADY JAY DEE ANA KARIBIA KUTOA VIDEO YAKE MPYA

Mwanamuziki LadyJay Dee sasa yuko mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya ambao bado haujatoka utakaokwenda kwa jina la ''Joto, Hasira'' ambao amemshirikisha Pro. Jay. 

Kupitia ukurasa wake wa Facebook mwanadada Jide ameendelea kuweka picha na kuweka wazi kuwa siku ya jana ndio amemaliza kutengeneza video ya huo wimbo wake huo.
Lady Jay Dee

WEMA SEPETU AMFANYIA MTOTO WA DADA YAKE BIRTHDAY NDANI YA FUNKYZ (MASAKI)

Wema akipiga story na Dada yake Kipenzi Nuru (Ma Riffat)
Baby Girl Sasha akipiga maji
Kabla yakukata Cake mpango mzima ulikuwa ndani ya Maji
Wema alionesha kuvutiwa na mtoto huyu nakuomba ampige picha kwenye sim yake...
Huyu ni mmoja ya rafiki wa Birthday Boyaliyewashangaza wengi kwa style yake ya kujichora
Spider Man usoni mwake
Kutokana na Mapenzi makubwa ya Birthday Boy (Raffat) kwa katuni ya Ben 10 ililazimika kutengenezewa Cake zilizonakshiwa Katuni huyo
Kwa picha zaidi bofya read more


UTAMADUNI WA MWA- AFRICA KATIKA FANI YA MUZIKI WAFANA CALIFORNIA

Mwanamuziki akipata picha ya pamoja na Walter (kati) pamoja na Tom (kulia)
Kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza Chuoni hapo.
shabiki akipanda jukwaani kuyarudi mangoma
Walter akipata picha ya pamoja na wadau wengine wa California
kwa picha zaidi bofya read more