| Wema akipiga story na Dada yake Kipenzi Nuru (Ma Riffat) |
| Baby Girl Sasha akipiga maji |
| Kabla yakukata Cake mpango mzima ulikuwa ndani ya Maji |
| Wema alionesha kuvutiwa na mtoto huyu nakuomba ampige picha kwenye sim yake... |
Huyu ni mmoja ya rafiki wa Birthday Boyaliyewashangaza wengi kwa style yake ya kujichora
Spider Man usoni mwake
|
Kutokana na Mapenzi makubwa ya Birthday Boy (Raffat) kwa katuni ya Ben 10 ililazimika kutengenezewa Cake zilizonakshiwa Katuni huyo
Kwa picha zaidi bofya read more
|
No comments:
Post a Comment