Monday, March 4, 2013

FOLENI YA MAGARI IMEKUWA KUBWA SANA DAR ES SALAAM LEO

Wakazi wa Jiji la Dar leo ilikuwa hivi
Mara baada ya mvua kunyesha kwa masaa kadhaaa jiji la Dar es salaam lilikuwa halitamaniki mchana wa leo kwa foleni ya magari, yaani hata Bodaboda zilikosa pa kupita. Kuanzia milango ya saa saba hadi jioni ilikuwa balaa tupu kwani kila barabara ilikuwa imefurika magari

No comments: