| Pichani juu ni Mwanamuziki kutoka nchini Marekani aitwaye Maya Azurenca akimba mbele ya vijana mbalimbali (hawapo pichani),wakati wa kushiriki mjadala uliohusu changamoto mbalimbali zinazowakumba wasanii wa Kike,
mjadala uliohusisha wasanii wa kike kutoka THT,wasichana kutoka nyumba ya kulelea watoto yatima wa KIWOHEDE |
No comments:
Post a Comment